Naombeni msaada wa haraka sindano za uzazi wa mpango zimeniharibu nikiwa nafanya mapenzi natoka maji mengi sana hata nikiwa naandaliwa kwa ajil ya tendo!!! Hali ambayo sikua nayo kabla nifanyeje? Naombeni msaada wa tiba maana mme wangu hataki kunielewa kabisa istoshe hatuna hata miezi tumeoana na nilichoma before kumfaham asanten