msaada wa haraka

msaada wa haraka

jordah

Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
68
Reaction score
11
nimetokewa na jipu juu kidogo ya uume je inaweza kuwa ni tatizo gani?
 
Hilo sio jipu ni gono... jipu kutokea sehem za siri sio kitu cha kawaida...
 
Wahi hospitali na siku nyingine usigegede bila ya kupima magonjwa ya zinaa na huyo unae mgegeda, ukishindwa kupima tumia kondom basi.
 
Back
Top Bottom