wiseboy JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 2,930 Reaction score 3,305 Dec 11, 2012 #1 Kuna rafik angu yupo uganda anataka kuleta kuku wa mayai, nyama, na mayai, sasa anaomba msaada wa vitu gani vinahitajika kuingiza mzigo kama huo, legal issues.
Kuna rafik angu yupo uganda anataka kuleta kuku wa mayai, nyama, na mayai, sasa anaomba msaada wa vitu gani vinahitajika kuingiza mzigo kama huo, legal issues.
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,282 Reaction score 117,244 Dec 11, 2012 #2 kuku hai? au kuku washachinjwa? kiasi gani? why alete from uganda? wa hapa tz wana nini?