Msaada wa hatua za kuingiza kuku toka nje.

Msaada wa hatua za kuingiza kuku toka nje.

wiseboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
2,930
Reaction score
3,305
Kuna rafik angu yupo uganda anataka kuleta kuku wa mayai, nyama, na mayai, sasa anaomba msaada wa vitu gani vinahitajika kuingiza mzigo kama huo, legal issues.
 
kuku hai?
au kuku washachinjwa?
kiasi gani?
why alete from uganda?
wa hapa tz wana nini?
 
Back
Top Bottom