Msaada wa haya masuala jamani

bonem

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2015
Posts
235
Reaction score
55
jamani naomba msaada hapa wa mambo machache
1. law reports naweza kuzipata wapi na kwa bei gani. namaanisha Tanzania Law reports zote. hasa bei yake na mahali zilipo. chap kidogo
2. legal documents za hapa tanzania mf. acts mbalimbali, most recent editions, nazipataje na kwa bei gani. nimezunguka bookshiops hapa sijazipata.
3. atakaeweza kunisupply hizo na nyinginezo aje pm ila malipo ni baada ya kuvifikisha hapa nilipo ama ukivituma, nikishavipokea nitalipia gharama zote na za usafiri zikiwemo, not otherwise. lets mke a deal
 
Mkuu itategemea uko sehemu gani. lakini yote yanawezekana. cha msingi ueleze ulipo, halfu ubainishe kama unahitaji soft copy, had copy au zote kwa pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…