Msaada wa HGE- Advance

medyzo

Member
Joined
Dec 5, 2013
Posts
86
Reaction score
9
Samahani wakuu mim ni kijana niliye maliza form 4 mwaka jana 2013, sasa ninaipenda comb ya HGE napenda sana kusomea uchumi
Sasa kulingana na matokeo yangu Mathematics nimepata F, vp ninaweza kusoma comb hiyo..?
 
Mi huwa nawashangaa sana machalii mnasoma soma tu bila dira hivi hamna wakubwa wa kuwaelekeza madhara ya kupata F ya hesabu huko mbeleni? For your info huwezi pata ajira kwenye intl organisation yoyote kama una F ya maths&english form IV. Maths somo nyanya sana siwezi ruhusuF hata unipe mtihani nikiwa na wadudu 500 wa malaria!
 
Ko sasa kaka unanishaur nisome nin....!?
 
Ko sasa kaka unanishaur nisome nin....!?

Utakosa sifa maana wanataka D ya namba. Achani michezo utashindwaje kupata 21 kati ya 100. BAM utawezaje sasa kama umeshindwa pata walau D ya namba o-level??
Mbona elimu rahis sana siku hizi.
 
Piga HGK huna namna,ulikosea wakati unasoma hukujua malengo na matarajio yako.
 
Utakosa sifa maana wanataka D ya namba. Achani michezo utashindwaje kupata 21 kati ya 100. BAM utawezaje sasa kama umeshindwa pata walau D ya namba o-level??
Mbona elimu rahis sana siku hizi.

Sasa ukianza kuni kosoa mim unadhan ndiyo suruhisho!... mim nachotaka nikunipa ushauri wa kina kaka na c kuniponda. Na hata hivyo D inaanzia 30, ila cyo ishu coz nilisha ongea mwanzo kuwa ilitokea tu bahat mbaya! Kwan ni mtihan tu! Ivyo niliterezaaaa
 
Samahani wakuu mim ni kijana niliye maliza form 4 mwaka jana 2013, sasa ninaipenda comb ya HGE napenda sana kusomea uchumi
Sasa kulingana na matokeo yangu Mathematics nimepata F, vp ninaweza kusoma comb hiyo..?

Unaweza kwenda advance na ukafanya vizuri tu.ila utakapokuwa unataka kwenda chuo kusomea degree ya uchumi hapo ni lazima uwe mzuri kwenye hesabu kwani course ya economics is purely mathematics
 
Unaweza kwenda advance na ukafanya vizuri tu.ila utakapokuwa unataka kwenda chuo kusomea degree ya uchumi hapo ni lazima uwe mzuri kwenye hesabu kwani course ya economics is purely mathematics

Ok! Ko ukiachana na pure Economy kuna facult gan ambayo inaweza kuwa poa kwa hge
 
Ok! Ko ukiachana na pure Economy kuna facult gan ambayo inaweza kuwa poa kwa hge

Kwanza chuo hatuendi kusomea facuty yeyote.unaposikia facuty that means ndani ya facuty fulani kunaweza kuwa na hata zaidi ya course ishirini kutegemea na ukomavu na ukubwa wa chuo. Ok km umetoka na hge form six unaweza kusomea course yeyote hile ya biashara km vile accounting. Finance . procurement and logistic.banking and finance.economics.business administration.nk.
 
soma HGK.
 
.,F ya namba isikuzingue.,kuna jamaa nilisoma nao HGE enzi hizo walikuwa na F ya Math now wapo SUA wanapiga AEA.,but inabidi ukaze bam utusue la sivyo majanga yatakukuta mbeleni.,ukienda advance pga msuli kweli mambo yanawezekana.,JUST BELIEVE IN YOURSELF U CAN REACH ANYWHERE YOU WISH.,
 
Utakosa sifa maana wanataka D ya namba. Achani michezo utashindwaje kupata 21 kati ya 100. BAM utawezaje sasa kama umeshindwa pata walau D ya namba o-level??
Mbona elimu rahis sana siku hizi.

hujamjibu bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…