Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi huwa nawashangaa sana machalii mnasoma soma tu bila dira hivi hamna wakubwa wa kuwaelekeza madhara ya kupata F ya hesabu huko mbeleni? For your info huwezi pata ajira kwenye intl organisation yoyote kama una F ya maths&english form IV. Maths somo nyanya sana siwezi ruhusuF hata unipe mtihani nikiwa na wadudu 500 wa malaria!
Ko sasa kaka unanishaur nisome nin....!?
Utakosa sifa maana wanataka D ya namba. Achani michezo utashindwaje kupata 21 kati ya 100. BAM utawezaje sasa kama umeshindwa pata walau D ya namba o-level??
Mbona elimu rahis sana siku hizi.
Samahani wakuu mim ni kijana niliye maliza form 4 mwaka jana 2013, sasa ninaipenda comb ya HGE napenda sana kusomea uchumi
Sasa kulingana na matokeo yangu Mathematics nimepata F, vp ninaweza kusoma comb hiyo..?
Unaweza kwenda advance na ukafanya vizuri tu.ila utakapokuwa unataka kwenda chuo kusomea degree ya uchumi hapo ni lazima uwe mzuri kwenye hesabu kwani course ya economics is purely mathematics
Ok! Ko ukiachana na pure Economy kuna facult gan ambayo inaweza kuwa poa kwa hge
Sasa ukianza kuni kosoa mim unadhan ndiyo suruhisho!... mim nachotaka nikunipa ushauri wa kina kaka na c kuniponda. Na hata hivyo D inaanzia 30, ila cyo ishu coz nilisha ongea mwanzo kuwa ilitokea tu bahat mbaya! Kwan ni mtihan tu! Ivyo niliterezaaaa
Utakosa sifa maana wanataka D ya namba. Achani michezo utashindwaje kupata 21 kati ya 100. BAM utawezaje sasa kama umeshindwa pata walau D ya namba o-level??
Mbona elimu rahis sana siku hizi.