Msaada wa hii alert katika Land Rover discovery 3

Hili ni dungu la Lukosi?
 
Alarm ya kukujulisha inataka oil change. Weka oil ya viwango vinavyokubalika.
 
Ni security reader hiyo Mkuu..
Nimepata pia kuiona kwenye Nissan Xtrail..
Haina madhara.
 
Subiri ikonge km 150k ndio atajua hajui
 
Discovery zote za mwingereza ikifikisha miles 100k lazima abadilishe engine na gear box Kwa pamoja. Bila hivyo hakuna rangi ataacha kuziona
Kwenye gearbox maranyingi kinachosumbua ni transfer case! Usiwapelekee mafundi wasiozijua, fanya diagnosis kwa mtu anayejua vema kusoma codes .. Transfer case haina mbadala zaidi ya kuibadili
 
Kwenye gearbox maranyingi kinachosumbua ni transfer case! Usiwapelekee mafundi wasiozijua, fanya diagnosis kwa mtu anayejua vema kusoma codes .. Transfer case haina mbadala zaidi ya kuibadili
Usisahau kumwambia kuwa hiyo transfer case si chini ya 5M kuinunua hapo Bado usafiri na kodi.

Kwa ufupi hiyo ikibuna Lazima aaandae 9M+ kuifix.
 
Discovery zote za mwingereza ikifikisha miles 100k lazima abadilishe engine na gear box Kwa pamoja. Bila hivyo hakuna rangi ataacha kuziona
Siyo kweli, mimi nna discovery mwaka wa 9 huu, ina miles 120,000 hiyo ni zaidi ya KM 190,000 na inadunda kama mpya.

Ni matunzo tu, weka oils na filters za viwango vinavyokubalika.
 
Kuna mjuaji mmoja kaandika hivi[emoji1541]

Alarm ya kukujulisha inataka oil change. Weka oil ya viwango vinavyokubalika.!

Nimecheka mpaka nikakaa chini[emoji23]
Wewe na magari wapi wapi? Unafikiri gari zina longolongo za uchawi unazowadanganya wajinga wenzio humu?

Jifunze kutumia chatgpt utayakuta hayo majibu niliyotowa humu,

Huwa sikisii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…