Quinton Canosa JF-Expert Member Joined Nov 2, 2012 Posts 1,224 Reaction score 1,250 Nov 2, 2017 #1 Nini maana ya maneno haya wakuu Mgaagaa na upwa hali wali mkavu Yaliyopita si ndwele tugange yajayo Nini maana ya ndwele na upwa
Nini maana ya maneno haya wakuu Mgaagaa na upwa hali wali mkavu Yaliyopita si ndwele tugange yajayo Nini maana ya ndwele na upwa
Dragoon JF-Expert Member Joined Nov 24, 2013 Posts 7,012 Reaction score 8,139 Nov 4, 2017 #2 Quinton Canosa said: Nini maana ya maneno haya wakuu Mgaagaa na upwa hali wali mkavu Yaliyopita si ndwele tugange yajayo Nini maana ya ndwele na upwa Click to expand... Ndwele ni maradhi au mapungufu/ udhaifu. Upwa ni sehemu ya pwani au mwambao wa bahari au ziwa.
Quinton Canosa said: Nini maana ya maneno haya wakuu Mgaagaa na upwa hali wali mkavu Yaliyopita si ndwele tugange yajayo Nini maana ya ndwele na upwa Click to expand... Ndwele ni maradhi au mapungufu/ udhaifu. Upwa ni sehemu ya pwani au mwambao wa bahari au ziwa.
Translator JF-Expert Member Joined May 19, 2017 Posts 286 Reaction score 297 Nov 7, 2017 #3 Kwa hiyo ni kusema anagaagaa (anakuwepokuwepo) kwenye upwa (ufukweni) ataokota angalau kijisamaki akapata mboga, hivyo wali wake ataula na mboga. -------- maana yake mhangaikaji hakosi kabisa kama mkaaji tu.
Kwa hiyo ni kusema anagaagaa (anakuwepokuwepo) kwenye upwa (ufukweni) ataokota angalau kijisamaki akapata mboga, hivyo wali wake ataula na mboga. -------- maana yake mhangaikaji hakosi kabisa kama mkaaji tu.
Translator JF-Expert Member Joined May 19, 2017 Posts 286 Reaction score 297 Nov 7, 2017 #4 Kitu kikishapita, si maradhi hayo. Nguvu zako bado unazo. Zitumie kufanya yaliyo mbele.