Msaada wa hii kitu

Msaada wa hii kitu

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,224
Reaction score
1,250
Nini maana ya maneno haya wakuu
Mgaagaa na upwa hali wali mkavu
Yaliyopita si ndwele tugange yajayo

Nini maana ya ndwele na upwa
 
Kwa hiyo ni kusema anagaagaa (anakuwepokuwepo) kwenye upwa (ufukweni) ataokota angalau kijisamaki akapata mboga, hivyo wali wake ataula na mboga. -------- maana yake mhangaikaji hakosi kabisa kama mkaaji tu.
 
Kitu kikishapita, si maradhi hayo. Nguvu zako bado unazo. Zitumie kufanya yaliyo mbele.
 
Back
Top Bottom