Msaada wa hii nyimbo

Msaada wa hii nyimbo

Usher-smith MD

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2015
Posts
9,558
Reaction score
12,335
"Baba paroko"
Imeimbwa kwa lugha ya kiswahili ikichanganywa na kihaya
Kwa anyejua mwimbaji wa hii nyimbo aniambie
Asante ya utangulizi
 
Pia wimbo wa Baba Paroko wa Makassy Junior umefanyiwa cover na wamanuziki wengi kama hawa wa Mkoani Kilimanjaro

''Baba Paroko''. Ikiimbwa live na GR band. Muimbaji akiwa Hosen Baba. Katika Ukumbi wa Tate Pub katika mji mdogo wa Same mkoani Kilimanjaro, Tanzania


Source: nyambwiro bakari
 
Back
Top Bottom