MSAADA WA HILI NENO.

king otaligamba

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2016
Posts
2,178
Reaction score
2,033
Habari za asubuhi ndugu wa JF. Kimsingi baada ya muda mrefu kupita bila kuzamia katika mtandao wa kijamii wa Facebook /uso wa kitabu nadhani ndio sababu iliyonifanya nishangae kuona hii misamiati mipya. Sasa basi bila kuchoshana sana wajuvi naomba kusaidiwa maana halisi ya haya maneno.


* KUDAMSHI
* KAMA LOTE

Natanguliza shukrani.
 
Hivyo vijineno ndio ukisikia vinatwa misimu ujue ndio hivyo.
Maana halisi vinalenga kuonveza vionjo/ msisitizo kwenye sifa inayoongelewa.
 
Waswahili wanasema misimu,maneno yanayoibuka na huwa yanapotea haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…