king otaligamba
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 2,178
- 2,033
Habari za asubuhi ndugu wa JF. Kimsingi baada ya muda mrefu kupita bila kuzamia katika mtandao wa kijamii wa Facebook /uso wa kitabu nadhani ndio sababu iliyonifanya nishangae kuona hii misamiati mipya. Sasa basi bila kuchoshana sana wajuvi naomba kusaidiwa maana halisi ya haya maneno.
* KUDAMSHI
* KAMA LOTE
Natanguliza shukrani.
* KUDAMSHI
* KAMA LOTE
Natanguliza shukrani.