Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
Wakuu wa nchi naomba kuuliza, kama Kuna mtu anayejua hospital inayofanya hiyo IVF kwa hapa Tanzania msaada please.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo moja Mikocheni, ina bango lake barabarani. Ukiwa unatokea shopperz Plaza kama unakwenda Kawe, ukishapita shoppinga mall moja hivi mkono wa kulia kuna bango lao, jina siifahamu, nadhani kuna wadau watakupa jibu.Wakuu wa nchi naomba kuuliza, kama Kuna mtu anayejua hospital inayofanya hiyo IVF kwa hapa Tanzania msaada please.
kama milioni kumi na vichenji kadhabMdadamwema,dollar elfu 5000, mbona ni nyingi kwa sana,wenye uhitaji wa hilo tatizo watapata huo msaada kweli?