Du! Una Diploma ya Masoko na Mauzo halafu unaomba wazo kutoka kwa watu wengine? Basi ulicho nacho ni cheti/ganda lakini Diploma ilipita pembeni.
Ndo shida ya elimu yetu mkuu kesho paper leo zimamoto nyingi,, back to the topic mi huwa napata shida sana sana kumwambia/kumshauri ni biashara gani afanye, maana biashara utakayofanya ukawa unaifurahia ndo biashara utakayofanikiwa nayo, sasa mimi ntajuaje passion yako ilipolalia?
The best Idea inatoka kwako wewe, usitarajie kuna mtu anaye weza kukupatia wazo bora, Na mafanikio ya Mjasirimali huanza na Wazo, na mtu akishindwa hata kuumiza kichwa kutafuta wazo basi hata kusimamia biashara hataweza. Ni wewe unaye takiwa kutoa wazo lako na heshimu wazo lako,
Tatizo kubwa ni kwamba mtu anaona anacho kiwaza sio kisa tu wengine hawakifanyi make tunajua mawazo ni yale yanayo fanywa na kila mtu, Usha wahi kujiuliza wavumbuzi wengi wao walitoa wapi mawazo yao? Jibu ni kwamba walikaa na kutengeneza,