Lio 002
JF-Expert Member
- May 10, 2014
- 436
- 68
Habar wana Jf, mm ni kjana niliehitimu diploma ya masoko na mauzo kutokana na upatikanaji mgumu wa ajira ninaomba kwa mtu yeyote ambaye ana wazo zuri la biashara naomba anisaidie kuniambia then ntalifanyia utafiti wa undani zaidi asanteni naomba kuwasilsha ila mm mwemyewe nilikuwa nna wazo la kuanzisha small micro loans coz nna mtaji wa million 5 asanteni sana nasubir mawazo yenu ndugu zangu