Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,643
Mnavuna dhambi sasA [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yesu alisema uongo????Yesu alisema uongo akijua anachokifanya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnavuna dhambi sasA [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yesu alisema uongo????Yesu alisema uongo akijua anachokifanya.
Wewe unaamini hajui siku ya hukumu???Mnavuna dhambi sasA [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yesu alisema uongo????
Hakufa Sasa afufuke vipi? Kufa si sifa ya Mungu yaani unazidi kujichanganya. [emoji23] [emoji23] pole kweli kweli[emoji2] [emoji2] [emoji2] zoba kuliko wote ni allah asiyeweza hata kufufuka.
[emoji2] sasa mungu ambaye hajawahi hata kujua kifo kinafananaje mnampaje sifa ya kuweza kila kitu[emoji45] [emoji45] [emoji45]Hakufa Sasa afufuke vipi? Kufa si sifa ya Mungu yaani unazidi kujichanganya. [emoji23] [emoji23] pole kweli kweli
Kuongea pumba hakukufanyi uwe mjanja na kwa haraka haraka nishakuona akili zako haziko sawa [emoji23][emoji2] sasa mungu ambaye hajawahi hata kujua kifo kinafananaje mnampaje sifa ya kuweza kila kitu[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Mungu ambaye anakufa na kufufuka huyu ndiye super sasa.
Unajua nyie waislamu huwa hamuelewi hata mnachoongea, yaani ushabiki mbele fahamu makalioni.
[emoji45] [emoji45] [emoji45]Kuongea pumba hakukufanyi uwe mjanja na kwa haraka haraka nishakuona akili zako haziko sawa [emoji23]
Unajua unawaaibisha hata wakristo wenzio!! Yaani unasema Mungu anakufa [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyo Mungu basi atakua pia anaumwa [emoji23] anaenda kujisaidia chooni [emoji23] saingine atakua ana akili za kizoba kama wewe kiumbe wake? Mungu anakufa dah wewe kiboko. Jamani kuna mkristo humu ambae anamsapoti huyu kidudu mtu? Eti Mungu anakufaaaaaa!! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Viki vingi nianze na haya:-[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Kwani kipi Mungu hawezi kufanya kabisa? orodhesha hapa.
Maana umaamuma ni kipaji chako, inawezekana napoteza muda.
Viki vingi nianze na haya:-
-Mungu hawezi kuingia bleed.
-Mungu hawezi kua Mwanamke
-Mungu hawezi kua shetani
-Mungu hawezi Kufa
-Mungu hawezi Kuchoka
-Hawezi kuzaliwa na Mwanadamu
-Mungu hawezi Vunja ahadi.
-Mungu hawezi kunyonya maziwa ya mwanadamu aliomuumba.
-Mungu hawezi kujinyea na kuvishwa nepi.
Halafu ukisema allah unasema Mungu. Yaani ni kiarabu tu hicho kama vile God kazi ninayo inaonesha hujui mengi ndugu [emoji23] [emoji23]Hakika allah hawezi vingi.
Ongeza na hivi.
-hawezi kukasirika,mkimtibua anapata chukizo sijui huwa mnambiwa hivi kwa maana ipi???
-hawezi kufurahi-kinyume cha hiyo juu.
-hawezi ona-maana yeye hana mwili.
-hawezi kuongea.
-hawezi kuhuzunika.
Unajua kwanini hawezi vyote hivyo,sababu hana mwili wa nyama.
Sasa umeanza kuwa na akili, na next time unapoandika uwe specific unazungumzia allah mungu wa kikureshi au unazungumzia Mungu mwenyezi.Halafu ukisema allah unasema Mungu. Yaani ni kiarabu tu hicho kama vile God kazi ninayo inaonesha hujui mengi ndugu [emoji23] [emoji23]
Kuna chochote katika nilivyoviorodhesha ambavyo kwa akili yako finyu unaweza kuvipinga?
Sasa kaa ukijua Mungu hafi na wala hasemi uongo kama unavyodhani wewe.
Ila siwezi shangaa Huyo Mungu wa wakristo ana tabu sana:
1. Aliogopa watu walipokua wakijenga mnara eti watamfikia mbinguni. Akaona hawa jamaa wakifika huku itakua noma ngoja niwachanganye lugha wasielewane[emoji23] kuna Mungu hapo? Na hio isitoshe hakuridhika ikabidi atume na upepo kabisa uangushe na kali kalikoanza [emoji23] ama kweli nyie ni kondoo
2. Huyo huyo Mungu alipigwa kichapo cha hatari sana na Jamaa moja lilikua linaitwa Yakobo. [emoji23] [emoji23]
Kama huamini soma
Mwanzo 32:24-28-Yakobo akakaa peke yake; na mtu mmoja akashindana naye mweleka hata alfajiri. Naye alipoona ya kuwa hamshindi, alimgusa panapo uvungu wa paja lake; ukateguka uvungu wa paja la Yakobo alipokuwa akishindana naye,Akasema, Niache, niende maana kunapambazuka. Akasema, sikuachi, usiponibariki.Akamwuliza Jina lako n'nani? Akasema, Yakobo.Akamwambia, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila Israeli, maana umeshindana na Mungu na Wanadamu nawe umeshinda.
Hapo vipi [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa maandiko hayo hata sishangai kabisa ukisema Mungu wenu anakufa na anasema uongo. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ohh sasa nimeacha kua maamuma nimefikia cheo cha Imam[emoji3] [emoji3]Sasa umeanza kuwa na akili, na next time unapoandika uwe specific unazungumzia allah mungu wa kikureshi au unazungumzia Mungu mwenyezi.
Mungu asiyeweza kila kitu hawezi kuwa mwenyezi hata siku moja, sawa imam ubwaubwa[emoji12] .
Imamu maamuma, sasa nibishe ili iweje wewe jamaa punguani eti[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ohh sasa nimeacha kua maamuma nimefikia cheo cha Imam[emoji3] [emoji3]
Hebu bisha kama Huyo Mungu wako Mwenyezi kama hakupigwa kichapo na Yakobo?
Ngoja nirudie ..
Mwanzo 32:24-28-Yakobo akakaa peke yake; na mtu mmoja akashindana naye mweleka hata alfajiri. Naye alipoona ya kuwa hamshindi, alimgusa panapo uvungu wa paja lake; ukateguka uvungu wa paja la Yakobo alipokuwa akishindana naye,Akasema, Niache, niende maana kunapambazuka. Akasema, sikuachi, usiponibariki.Akamwuliza Jina lako n'nani? Akasema, Yakobo.Akamwambia, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila Israeli, maana umeshindana na Mungu na Wanadamu nawe umeshinda.
Sasa kama Mungu anaweza kupewa kipigo na Mwanadamu kuna Mungu hapo?
Hapana wewe ukibisha utakua KONDOO [emoji23]Imamu maamuma, sasa nibishe ili iweje wewe jamaa punguani eti[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Yaani nibishe tu si namimi ntakuwa maamuma sasa???
Sijui,na ingekuwa vyema sana kama ungesema tu unamzungumzia Yesu yupi na ukaacha kujizungusha zungusha.....Dont beat around the Bush my Friend. Unajua Exactly ni yupi tunamuongelea.
So please nipe majibu kama unayo.
Naona anaejizungusha ni wewe.Sijui,na ingekuwa vyema sana kama ungesema tu unamzungumzia Yesu yupi na ukaacha kujizungusha zungusha.....
..the Original Book doesn't have this ERRORS hizi znapatikana from translations za Biblia kwenda Lugha Mbali Mbali na ukuaji wa Lugha kwa Ujumla,Hii ni issue Ya kutumia common sense TuBoss, Kitabu cha Mungu hakitakiwi kua na Errors ! Unaamini Mungu anaweza kua na kitabu kama hicho?
Nikupe mfano wa kifo cha yuda Escariot
Matendo 1:18 alikua shambani akajikwaa na kuanguka na matumbo yake yakapasuka. hali yakua kinyume kabisa na maelezo hayo Matayo 27:5 alienda akajinyonga.
Hebu jaribu kutafakari. Biblia moja kifo cha mtu mmoja maelezo mawili tofauti kabisa.
Sasa tujue wazi Mungu si mwanadamu wa kufanya makosa kama haya na kitabu cha Mungu hakiwezi kua na kisa hata Moja.
..You are A Liar,seventh adventists Beleive Jesus Is God bana na Biblia sio Kama Quran kuielewa u need tha Holy spirit ukimkosa ndo unakuta unajikanyaga kama unavofanya sasa IviiKwa maana hiyo unataka kusema wasabato sio wakristo maana wao hawaamini kama Yesu ni Mungu.
Na kama Yesu ni Mungu tukubali basi Mungu huyo nae ana Mungu wake. Na yule Mungu wa Yesu ndio sisi tunamuabudu.
-Hivi hujui hata baniani anaomba sanamu la ng'ombe na anajibiwa anachokiomba? Sasa kwa mantiki hiyo je naye akisema Ngombe ni Mungu wa Kweli utamuelewa?
-Umeleta mfano wa Gari kua moja na mfano wa taa. Hivi Taa peke yake unaweza kuuita Gari? Hapana huwezi. Lakini gari inaweza kutembea bila taa.
Fahamu kua Nafsi ya Baba ndio kuu kuliko nafsi hizo zingine.
..Quran Ina conflicts Kibao na contradictions Yaani inapingana yenyewe kwa yenyewe achana na errorsMie naamini iko correct. Labda uelewa wako ndio unaweza kua hauko correct. So kabla hatujahamia huko nipe jibu kwanza je wewe unaamini biblia iko correct au imevurugwa? Na kama unaamini iko correct nipe maelezo hayo ya kifo cha yuda.
Abudu mungu mmoja aliyekuumbaNiamini Mungu yupi?
Boss hata ukisoma biblia ya Kiingereza kuna tofauti kati ya HANGING AND FALLING. sehemu Moja bible imesema Yuda alitupa Shekali za fedha akaeNda AKAJINYONGA!! Sehemu nyingine inasema Alikua Shambani akajitega akaanguka na matumbo yake yakapasuka. sasa Tuamini kipi hapo? Kama Errors zimo je tunapataje uhakika kua ni kitabu toka kwa Mungu na si waanadamu waliokikoroga? Maana sote tunafahamu Mungu hawezi kujikoroga hivi. Kama huamini hebu soma maandiko hayo kati ya Acts and Matthew kwenye Bible ya Kiingereza utaona wazi Hanging or falling?..the Original Book doesn't have this ERRORS hizi znapatikana from translations za Biblia kwenda Lugha Mbali Mbali na ukuaji wa Lugha kwa Ujumla,Hii ni issue Ya kutumia common sense Tu
mfano kiswahili zipo tafsiri kama 15 kipemba,kimvita,kikureshi n.k maneno hayawezi kufanana But the LOGIC is the same kma fungu Lako hapo Juu point ni kwamba Yuda alijiua na haya matatizo yapo kwenye Lugha Yetu Ya kiswahili Maana inakua daily Ila In english Biblia Ipo straight kuwa Alijinyonga