JaffarMohammed
JF-Expert Member
- Nov 13, 2016
- 762
- 283
- Thread starter
- #221
Thanks for calling me a liar!! ukifatilia convo vizuri step kwa step utaona wenzio wanasema wao sio wakristo sababu wanaamini Yesu ni mtume wa Mungu. Sasa liar sio mimi ni wakristo wenzio.anyways vipi kuhusu suala la wao kuabudu siku ya kwanza ya wiki na nyie kuabudu siku ya pili?..You are A Liar,seventh adventists Beleive Jesus Is God bana na Biblia sio Kama Quran kuielewa u need tha Holy spirit ukimkosa ndo unakuta unajikanyaga kama unavofanya sasa Ivii
Halafu huyo holy spirit ndio anatumika zaidi kuwadanganya. kwani Mungu hapendi watu wafaulu mpaka afanye maandiko yawe magumu kuyaelewa?
Mimi binafsi naona maandiko yako wazi kabisa. Wala hayahitaji mtu mwingine kuja kunidanganya kua hapa Mungu kasema hiki na hapa kasema hiki.
Ntakupa mfano mdogo. MUSSA alipokua amepanda mlima kuna mahala alifika Mungu akamwambia avue viatu maana alipokanyaga ni mahala patakatifu.
Ukimuuliza mkristo kwanini anaingia kanisani na viatu je si eneo takatifu ?
Utasikia eti mchungaji anasema hakumaanisha viatu hivi vya kawaida, alimaanisha eti avue dhambi zake [emoji23] cha kushangaza sasa Mussa kweli alivua viatu hivi hivi ambavyo tunavijua sisi [emoji23] .hayo ndio mambo sasa ya kudanganywa kwa jina la roho mtakatifu[emoji23] [emoji23]