JaffarMohammed
JF-Expert Member
- Nov 13, 2016
- 762
- 283
- Thread starter
- #301
Kitabu cha kiroho ambacho sio kutoka kwa Mungu?Kwasababu ni kitabu cha kiroho sio hadithi
Hivi neno la Mungu linaweza kua na makosa au kuwa na Contradiction?
Hua napenda kutumia mfano mdogo sana wa KIFO CHA YUDA kuonesha wazi biblia inamikono mingi ya wanadamu yaani imebadilishwa sana. Na kitabu kilichabadilishwa hatuwezi kukiamini. Kitabu cha Mungu Hua hakiwezi kutiwa mikono ya waandishi.
Sasa wewe kaa na hiyo Biblia ukidhani ni ya Mungu. [emoji23] [emoji23]
Au kama unabisha kua haijabadilishwa niambie Yuda alikufa kifo Gani?