Msaada wa information kuhusu ST AUGUSTINE UNIVERSITY OF TANZANIA (mwanza campus)

Mliochaguliwa vyuo vilivyopo Mwanza someni. mfuate yaliyowapeleka( masomo).
Mwanza kuna starehe sana kwa sasa.
Kuna villa shimini, villa dansi, villa taarabu na misosi kiboko.
Shooters kuna misosi na dstv mpira usiseme. kitimoto saaafi kwa castle lite.jirani kuna milupo bei hata buku unaopoa(ukimwi upo na unaua)
Boom likitoka goldcrest coffee buku 4(amua) jb belmont , malaika sizzker zite mjini kati.
mkicheza tu mmefeli.
Kwa mabinti wazee wa mwanza wana hela na wanahionga mihela(ukimwi upo) Mza hali ya hewa ukitaka kwenda saa nane kisiwani poa ukerewe poa.
SOMENI mtimize ndito zenu
 
Mliochaguliwa vyuo vilivyopo Mwanza someni. mfuate yaliyowapeleka( masomo).
Mwanza kuna starehe sana kwa sasa.
Kuna villa shimoni, villa dansi, villa taarabu na misosi kiboko.
Shooters kuna misosi na dstv mpira usiseme. kitimoto saaafi kwa castle lite.jirani kuna milupo bei hata buku unaopoa(ukimwi upo na unaua)
Boom likitoka goldcrest coffee buku 4(amua) jb belmont , malaika sizzker zite mjini kati.
mkicheza tu mmefeli.
Kwa mabinti wazee wa mwanza wana hela na wanahionga mihela(ukimwi upo) Mza hali ya hewa ukitaka kwenda saa nane kisiwani poa ukerewe poa.
SOMENI mtimize ndito zenu
 
Kama huwa hufanyi mitihani jmosi! Hutakiwi kwenda chuo ...! ! Samahani lakini.....!!
 
Hamna gari la moja kwa moja toka nyegezi to bugando ni bora ukae hostel msosi pale wali maharage ni buku tu.

kweli kaka atashukia kauma au mzunguko wa samaki then anapanda tax au hiace za bugarika daah gharama kubwa bora akae hapohapo bugando
 
Kuingia SAUT rahis sanaa kuchomoka sasa kudadekii... vpnd tsa na research proposal juu. Ila ndo elimu inatakiwa hivyo hakuna mchezo mchezo apaaa

Huwa nawashangaa wanajisifia vyuo vyao msuli wa saut ni chiboko.
 
mkuu safi sana ila mie haztanisumbua sana coz ndo huku huku naishi pamoja kaka ila saa nane pale da ntaenda kila weekend nkaangalie lile sokwe
 
Vilevile St. Augustine - Malimbe Campus, kuna Bango kubwa sana la kuwakaribisheni linalosomeka "... Graduate with A's, Do Not Graduate With AIDS"! Bango linatia woga kiasi. Kazi kwenu watoto wa Mh. Mulugo. Wadau tunasubiri Gold Crest!!
 
mkuu unaishi mahina nini au?
 
Usafiri campus to town upo mwingi.
Usafiri hadi Airport kwa wale wa fastjet na precission hakuna tabu.
Ukitumiwa mzigo kiparcel toka home posta ipo karibu.
Nakikumbuka sana chuo changu kimenilea.hongera sana wana nyegexi na mza kwa ujumla.
Sato nimezimiss sana.
 
Karibuni sana 2lijenge jiji la mungu, mchakamchaka wa SAUT c mchezo, kama kuna yoyote kachaguliwa kozi ya Engineering aniulize chochote kuhusu kozi hyo pale SAUT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…