Msaada wa information kuhusu ST AUGUSTINE UNIVERSITY OF TANZANIA (mwanza campus)

Msaada wa information kuhusu ST AUGUSTINE UNIVERSITY OF TANZANIA (mwanza campus)

Weekend kama boom limetema unajichanganya villa, gold crest belmont ukiwa na totoz pembeni.
 
Weekend kama boom limetema unajichanganya villa, gold crest belmont ukiwa na totoz pembeni.

kaka hzo nazfaham coz naish mwanza mkuu niongeze na stone club mkuu ila vijana social siku hz imekufa.. Kaka ntakutafuta kaka unipe info zaid
 
1.Hostels zipo za ndani ambazo zina vitanda 2 double decker na nje kuna maelfu ya hostels kadiri pesa yako inavyoruhusu kuanzia 300,000tsh hadi 1,200,000tsh kulingana na hadhi ya hostels na kama unapenda kukaa na mate basi mta share gharama. 2.Nimepata shida kama ulifaulu kweli, haswa unapouliza wanalazimisha kufanya mitihani jumamosi? Ratiba haiwezi kulenga siku moja ya jumamosi ndipo ufanye mtihani, ukweli ni kwamba ratiba ya masomo ni jumatatu hadi jumamosi vinginevyo iwe holiday hivyo siyo mitihani tu, hata lecture kama una una kipindi jumamosi sharti ufuate ratiba.Kama wewe ni Msabato basi utachagua kupuuza lecture,quiz,test or exams na kufuata Usabato wako kabla hujarudishwa kwenu au ufuate elimu iliyokuleta. 3.Walimu wapo lakini chuo kikuu unatakiwa kujiongeza.

mbona kama umemponda hapo kwenye usabato?
 
ni siri ya jeshi hyo vp umeomba hapo nini?

mkuu kama inawezekana na mimi ukaunganisha na hilo jeshi nipate kujua na mimi manake ndo niliweka first and second choice.nimejaribu kuvamia kambi ila wakanibania,walichoniambia tu ni kuwa tayari wanayo matokeo lakini bado ni internal hawawezi kunionyesha ila inawezekana next week wakabandika,hata kama unaweza mi nikutumie jina ujaribu kama makamanda wako watanisaidia
 
hakuna siri ni airtel yatosha hiyo! mi nimechaguliwa bugando na nna mpango wa kukaa nje na jamaa wa saut! je kunaumbali mrefu sana kati ya hivyo vyuo viwili!
 
hakuna siri ni airtel yatosha hiyo! mi nimechaguliwa bugando na nna mpango wa kukaa nje na jamaa wa saut! je kunaumbali mrefu sana kati ya hivyo vyuo viwili!

hamna umbali sana ila unapanda daladala sh 500 toka nyegez to bugando hospital ambapo kpo chuo
 
hakuna siri ni airtel yatosha hiyo! mi nimechaguliwa bugando na nna mpango wa kukaa nje na jamaa wa saut! je kunaumbali mrefu sana kati ya hivyo vyuo viwili!

Wewe wa Bugando ni heri ukakaa histel ya chuo.
Shule hapo ipo haitaki masihara.
 
hakuna siri ni airtel yatosha hiyo! mi nimechaguliwa bugando na nna mpango wa kukaa nje na jamaa wa saut! je kunaumbali mrefu sana kati ya hivyo vyuo viwili!

Pale sikushauri upange nje coz gharama itakuwa kubwa.
 
Kuingia SAUT rahis sanaa kuchomoka sasa kudadekii... vpnd tsa na research proposal juu. Ila ndo elimu inatakiwa hivyo hakuna mchezo mchezo apaaa
 
Back
Top Bottom