Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weekend kama boom limetema unajichanganya villa, gold crest belmont ukiwa na totoz pembeni.
1.Hostels zipo za ndani ambazo zina vitanda 2 double decker na nje kuna maelfu ya hostels kadiri pesa yako inavyoruhusu kuanzia 300,000tsh hadi 1,200,000tsh kulingana na hadhi ya hostels na kama unapenda kukaa na mate basi mta share gharama. 2.Nimepata shida kama ulifaulu kweli, haswa unapouliza wanalazimisha kufanya mitihani jumamosi? Ratiba haiwezi kulenga siku moja ya jumamosi ndipo ufanye mtihani, ukweli ni kwamba ratiba ya masomo ni jumatatu hadi jumamosi vinginevyo iwe holiday hivyo siyo mitihani tu, hata lecture kama una una kipindi jumamosi sharti ufuate ratiba.Kama wewe ni Msabato basi utachagua kupuuza lecture,quiz,test or exams na kufuata Usabato wako kabla hujarudishwa kwenu au ufuate elimu iliyokuleta. 3.Walimu wapo lakini chuo kikuu unatakiwa kujiongeza.
Ndio jaman tusaidiane
karibu malimbe mkuu,
mbona kama umemponda hapo kwenye usabato?
jaman samahan selection umetoa wap
Kwani dadangu we jumamosi jioni ulikuwa wapi hukubonyeza *150*44# kwenye airtel yatosha.
kaka akhsanteh vp unapga st Ag
ni siri ya jeshi hyo vp umeomba hapo nini?
yeah,npo hapa kwa mtakatifu agustine.
hakuna siri ni airtel yatosha hiyo! mi nimechaguliwa bugando na nna mpango wa kukaa nje na jamaa wa saut! je kunaumbali mrefu sana kati ya hivyo vyuo viwili!
hakuna siri ni airtel yatosha hiyo! mi nimechaguliwa bugando na nna mpango wa kukaa nje na jamaa wa saut! je kunaumbali mrefu sana kati ya hivyo vyuo viwili!
Jaman hata mm natangaza nia ya kuripoti hapo SAUT 16 Sept.
hakuna siri ni airtel yatosha hiyo! mi nimechaguliwa bugando na nna mpango wa kukaa nje na jamaa wa saut! je kunaumbali mrefu sana kati ya hivyo vyuo viwili!