Msaada wa jina la "chavichavi" au "washawasha" kwa kiingereza

Mambo Safi

Member
Joined
Mar 25, 2017
Posts
36
Reaction score
9
Habari zenu wakuu, Nilikuwa naomba mnisaidie wa jina la mdudu chavichavi kwa kiingereza
 
"Katapila nyamaza kulia ,ukilia unawaliza wengi wanikumbusha ukiwa wee, katapila nyamaza wee".. MWINJUMA MUUMINI enzi za ubora wake wa hali ya juu..
[emoji2] [emoji12]
 
Switchswitch on
20171007_072043.jpg
 
"Katapila nyamaza kulia ,ukilia unawaliza wengi wanikumbusha ukiwa wee, katapila nyamaza wee".. MWINJUMA MUUMINI enzi za ubora wake wa hali ya juu..
Hiki kibwagizo Muumini alikiimba kwa hisia sana....
 
Back
Top Bottom