Msaada wa jina la Embe ng'ong'o kwa kiingereza

kuna kitu hakipo ulaya mkuu?
Khee kwani la kuuliza hilo?
KWANI KINACHOWAFANYA WAJE KUTALII HUKU NI NINI? Au mwenzetu vilele vya mawenzi na kibo kwenye mlima kilimanjaro umeshawahi kuviona ULAYA?

Na UGALI kwa kidhungu je?

Kimsingi, vitu ambavyo vinaonekana asili yake ni Afrika huwa ni shida sana kuwa na majina kwa kiingereza

By Ngali K
 
kweli aisee
 
Mbona sioni jibu? Au wote hatujui tunajua siasa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…