Msaada wa jina la Embe ng'ong'o kwa kiingereza

Alieuliza hili swali namsifu kwanza si kila mtu anapenda kujua, hili tunda japo wengi wanapenda kuyala.
Hili embe ng'ong'o kwa ngeli (common name) linaitwa ""Monkey mango"", scientific name ni ""Spondus sytherea"" ipo kwenye family moja na mango ya kawaida inayoitwa ""Mangifera indica"" family yao ni ""Anacadiaceace"" Mm ni mtaalam wa Horticulture apa uliza kuhusu any fruit, vegetable, spice na ornamental plants. Utajibiwa mkuu.
 
Ni mango tuu, maana maembe yetu ya TZ yana majina mengi, kama vile embe bwabwa, embe nyonyo, embe viringe kwa wakazi wa Tanga ni viunga vyake wanayafahamu sana haya n.k
 
woow so thanks kisoko barikiwa sana kwa jibu la kitaalamu
 
yeah nimepata sasa jina lake ni Ambarella yeah ndio embe ng'ong'o kwa kiswahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…