MTZ 255Dar
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 1,149
- 3,963
Bila kupoteza mda nawasalimu nyote na pole na majukumu ya kujiingizia kipato.
Baada ya Baba yangu mzazi kupata ajali ya Gari Ghafla alikimbizwa kituo Cha Afya Kijijini kwetu na hatimaye juhudi za kuokoa maisha yake zikakwama na ndipo alikufa majira ya Saa 10 Jioni siku ya tarehe 07/12/2022.
Msaada ambao ninauomba kwenu Ni jinsi ninavyoweza kupata CHETI Cha KIFO Cha baba yangu. Napenda kujua:
Aksanteni Sana.
R.I.P to My beloved Father.

- Ni taratibu gani zinatakiwa kufuatwa?
- Ni vitu gani vinahitajika?
- Ni wapi pa kuanzia?
- Inachukua muda gani?
Aksanteni Sana.
R.I.P to My beloved Father.