Kiwanja kimevamiwa na mtu amejenga nipeni ushauri wa hatua za kuchukua. Ili mtu apate haki yake Kinyume cha hapo msaada unahitajika haraka mizunguko sio dili
Anzia Ofisi za kijiji au mtaa. serikali ya mtaa ithibitishe umiliki wa kiwanja kisha utapata mwongozo zaidi. watu hununua viwanja na hukosea na kujenga mahali pa mwengine. Ongea na huyo vamizi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.