Msaada wa jinsi ya kupata mashine ya Premium Betting

Posho City

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
648
Reaction score
418
Wadau mimi nahitaji mashne ya kubett ila sijui jinsi ya kuipata.nataka nifanye biashara hyo.
Kwa sasa nipo dar ila nataka nikiipata niipeleke iende kupga kazi BUKOBA mjini.
 
Nenda kwenye ofisi zao zilizopo kariakoo near kariakoo sokoni utapata maelekezo yote
 
Wadau mimi nahitaji mashne ya kubett ila sijui jinsi ya kuipata.nataka nifanye biashara hyo.
Kwa sasa nipo dar ila nataka nikiipata niipeleke iende kupga kazi BUKOBA mjini.
Mkuu ulifanikiwa?
 
Back
Top Bottom