Msaada wa jinsi ya kusamehe na kuachilia

Msaada wa jinsi ya kusamehe na kuachilia

Habari za Jumapili wapendwa wangu ambao kwa uaminifu kabisa hamkupita bila kusema neno juu ya Mada niliyotuma hapa hivi karibuni.(Msaada-wa-jinsi-ya-kusamehe-na-kuachilia.)

MREJESHO:
Michango yenu imenipa maana sana ya Maisha : I hope now hakuna Mpumbavu ambaye atakatiza mbele yangu na fake life identity akanichezea tena.

Ninaendelea vema ninatumaini ninapona sasa!
Nilichojifunza kutoka kwenu ni Haya.
1. Nisikae kimya ninapoumizwa na kuna mdau alikazia kwa kuwa nimeamua kusema basi nita HEAL na kwa kweli hii naiona.

2.Wapendwa Wezangu mlionishauri Kuzidi Kusema na Mungu - Aliyetuma Clips za Pastor Mbaga (Be blessed) Hakika hakuna Mwisho wa Kujifunza.

3. Na mlio shauri Nilipe Kisasi - All in All ni Ushauri huo wa Kibabe nimeupokea for future use If all ways fails.

4. Hata mliopita kimya Asanteni sana Watanzania wenzagu.

Upendo wa MUNGU na HEKIMA zake ziendelee kuwaongoza - Jumapili Njema.
Ninaendelea Poa sana.

celebration-background-with-colourful-fireworks_1048-870.jpg

 
I don't know how to forgive people.
Usimsamehe, ila mpotezee tu. Never keep him close hususan kama alikudhulumu pesa au alitembea na mwanamke wako. Huyo sio rafiki.

Ukipata fursa huyu adui siku za baadae "you hit him harder than he did to you"
 
Hujasamehe toka Moyoni. Unajifariji kwa kutamka mdomoni kuwa umesamehe. Ndio maana bado inakuumiza.
Kukumbuka hakuepukiki, sema tu unapotezea. Wapo wanakumbuka matukio ya darasa la saba akiwa na miaka 62 leo unataka asikumbuke pesa aliyodhulimiwa miaka 4 nyuma?
 
Back
Top Bottom