Msaada wa Katiba na memorandum ya mtu mwenye ulemavu kwenye mikopo ya Halmashauri

Msaada wa Katiba na memorandum ya mtu mwenye ulemavu kwenye mikopo ya Halmashauri

Joined
Jan 14, 2025
Posts
43
Reaction score
85
Nianze kwa salaam

Natumai wote wazima, ningependa niende Moja kwa Moja kwenye mada ambapo nilikua naomba mnisaidie katiba na memorandum ya mtu mwenye ulemavu katika mikopo ya halmashauri nimejaribu kwenda kwa mawakili lakin wanataka hela nyingi na uwezo huo Sina

Hivo nikaona nije hapa JF Kuna wataalamu wengi watanisaidie kuipata walau soft copy na ntaedit baadhi ya maeneo kabla ya kuiprint

NB: NAOMBA IWE YA MTU MMOJA SIO KUNDI

Asnte sana
 
Back
Top Bottom