Msaada wa kazi, nina degree ya IT

Msaada wa kazi, nina degree ya IT

Joined
Aug 27, 2017
Posts
34
Reaction score
52
habari za muda huu ndugu zangu, mimi kijana wenu mkazi wa Ubungo, Dar es salaam na muhitimu wa shahada ya habari mawasiliano na biashara (IT with Business) mwaka 2020. Nimejikita zaidi kwenye web application na graphics design. Nilikuwa naomba msaada wenu wa kuniwezesha kupata kazi iwe kazi rasmi au ya kujitolea kwa lengo la kuongeza uzoefu katika career yangu. Pia kama kuna kazi tofauti na taaluma yangu nipo tayari kuifanya ila tu iwe ya halali.

kwa mawasiliano unaweza kunipata kupitia namba 0656 058 186 au kwa barua pepe athumanimfaume1995@gmail.com ahsanteni sana kwa kuusoma uzi huu.
 
Tuwasiliane
 
Back
Top Bottom