NjooNitangulize salamu zangu kwenu wapendwa
Kijana Miaka 21
Me
Elimu kidato cha sita
Eneo Dar
Ninahitaji msaada wenu wa kazi wakuu ninateseka sana mtaani sijui nianzie wapi Inafikia hatua nakata hadi tamaa ya kuishi mwenyewe kulingana na hali ngumu niliyo nayo asee Mungu awabariki yangu nihayo tu
Njoo mkoa Kama lugha inapanda ufundishe watoto wa dogoNitangulize salamu zangu kwenu wapendwa
Kijana Miaka 21
Me
Elimu kidato cha sita
Eneo Dar
Ninahitaji msaada wenu wa kazi wakuu ninateseka sana mtaani sijui nianzie wapi Inafikia hatua nakata hadi tamaa ya kuishi mwenyewe kulingana na hali ngumu niliyo nayo asee Mungu awabariki yangu nihayo tu
Mbona ujaweka mawasilianobyakoNitangulize salamu zangu kwenu wapendwa
Kijana Miaka 21
Me
Elimu kidato cha sita
Eneo Dar
Ninahitaji msaada wenu wa kazi wakuu ninateseka sana mtaani sijui nianzie wapi Inafikia hatua nakata hadi tamaa ya kuishi mwenyewe kulingana na hali ngumu niliyo nayo asee Mungu awabariki yangu nihayo tu
We huna kwenu si uende kijini ukalimeNitangulize salamu zangu kwenu wapendwa
Kijana Miaka 21
Me
Elimu kidato cha sita
Eneo Dar
Ninahitaji msaada wenu wa kazi wakuu ninateseka sana mtaani sijui nianzie wapi Inafikia hatua nakata hadi tamaa ya kuishi mwenyewe kulingana na hali ngumu niliyo nayo asee Mungu awabariki yangu nihayo tu
0674736538Mbona ujaweka mawasilianobyako
We huna kwenu si uende kijini ukal
0674736538 ni saidie mkuuNjoo
Njoo mkoa Kama lugha inapanda ufundishe watoto wa dogo
Sasa kwetu wapi tena mkuu nimeandika niko wapi apoWe huna kwenu si uende kijini ukalime
Pole sana mdau, ukiwa humu ujiandae kupokea majibu ya sampuli tofauti wajuvi wamekua wahanga pia kwa muda.Sasa kwetu wapi tena mkuu nimeandika niko wapi apo
Nisamehe kama nimejibu vibaya kiongozi 🙏
Haina shida mkuu yote ni kwenye safari ya utafutajiPole sana mdau, ukiwa humu ujiandae kupokea majibu ya sampuli tofauti wajuvi wamekua wahanga pia kwa muda.
0674736538Unaweza kukesha ziwani kwenye vizimba kulisha samaki..?
Du mkuu nashukuru kwa Hilo sema jembe kidogo kipengele aseeMvua zimeanza kunyesha njoo hapa Ruvu darajani tulime
Unataka za ofisini tu sio?Du mkuu nashukuru kwa Hilo sema jembe kidogo kipengele asee
Kipindi nikiwa JKT tulipiga jembe sana maeneo hayoMvua zimeanza kunyesha njoo hapa Ruvu darajani tulime
Hapana Ofisini kwa elimu gani mkuu sema jembe sijawahi lima na niko disabled kidogo Hayo tu mkuuUnataka za ofisini tu sio?
Sasa mkuu nikufundishe ukiitiwa kazi yoyote maadamu ni halali,usiseme siwezi,sema asante,naweza jaribu,nko tayari kufundishwa,ili nifanye vyema.Hapana Ofisini kwa elimu gani mkuu sema jembe sijawahi lima na niko disabled kidogo Hayo tu mkuu
Du nashukuru sana kiongozi 📌📌Sasa mkuu nikufundishe ukiitiwa kazi yoyote maadamu ni halali,usiseme siwezi,sema asante,naweza jaribu,nko tayari kufundishwa,ili nifanye vyema.