Msaada wa kazi wakuu

Msaada wa kazi wakuu

HT666

Member
Joined
Mar 1, 2025
Posts
10
Reaction score
4
Nitangulize salamu zangu kwenu wapendwa

Kijana Miaka 21

Me

Elimu kidato cha sita

Eneo Dar

Ninahitaji msaada wenu wa kazi wakuu ninateseka sana mtaani sijui nianzie wapi Inafikia hatua nakata hadi tamaa ya kuishi mwenyewe kulingana na hali ngumu niliyo nayo asee Mungu awabariki yangu nihayo tu
 
Njoo

Njoo mkoa Kama lugha inapanda ufundishe watoto wa dogo
 
Nitangulize salamu zangu kwenu wapendwa
Kijana Miaka 21
Me
Elimu kidato cha sita
Eneo Dar
Ninahitaji msaada wenu wa kazi wakuu ninateseka sana mtaani sijui nianzie wapi Inafikia hatua nakata hadi tamaa ya kuishi mwenyewe kulingana na hali ngumu niliyo nayo asee Mungu awabariki yangu nihayo tu
Mbona ujaweka mawasilianobyako
 
Nitangulize salamu zangu kwenu wapendwa
Kijana Miaka 21
Me
Elimu kidato cha sita
Eneo Dar
Ninahitaji msaada wenu wa kazi wakuu ninateseka sana mtaani sijui nianzie wapi Inafikia hatua nakata hadi tamaa ya kuishi mwenyewe kulingana na hali ngumu niliyo nayo asee Mungu awabariki yangu nihayo tu
We huna kwenu si uende kijini ukalime
 
Sasa kwetu wapi tena mkuu nimeandika niko wapi apo
Nisamehe kama nimejibu vibaya kiongozi 🙏
Pole sana mdau, ukiwa humu ujiandae kupokea majibu ya sampuli tofauti wajuvi wamekua wahanga pia kwa muda.
 
Hapana Ofisini kwa elimu gani mkuu sema jembe sijawahi lima na niko disabled kidogo Hayo tu mkuu
Sasa mkuu nikufundishe ukiitiwa kazi yoyote maadamu ni halali,usiseme siwezi,sema asante,naweza jaribu,nko tayari kufundishwa,ili nifanye vyema.
 
Back
Top Bottom