Msaada wa kazi ya ualimu nursery-dar es salaam

Msaada wa kazi ya ualimu nursery-dar es salaam

Cnkwabi

Member
Joined
Sep 9, 2012
Posts
97
Reaction score
22
Napenda kutanguliza shukrani zangu za za dhati kwa members wote,kwani kupitia safu hii nimefaidika na
kuelimika sana nina shida,mwenzangu alimaliza kidato cha nne 2009 matokeo hayakuwa mazuri alipata DIV
IV-30,akaamua kuresit masomo 5 akapata credit 2 ya kingereza na history yaani kisw D,Geo D,Hist C,Eng B Civ
D.Akajaribu kuomba kusoma grade ualimu ikashindikana kwani walisema wanahitaji DIV IV ya 27 na kama una vyeti vya kuunganisha uwe na credit 4.ina maana kuwa alifanya makosa katika kurejista masomo kama angerejista masomo 7 halafu afanye 5 hata kama yale 2 angepata F angekuwa amepata DIV IV -27 kwa matokeo yake hapo juu.
kwa kuwa hakuweza kujiunga na ualimu ngazi ya cheti,na kwakuwa ualimu upo damuni mwake ikabidi asomee
ualimu wa nursery katika chuo cha TANZANIA COLLEGE OF EARLY EDUCATION, amehitmu mwezi wa 6 mwaka huu na kupata DISTINCTION GRADE na kuna shule anafanya tempo TANGA, kwa kuwa anauwezo mkubwa wanamtumia hadi kufundisha primary english medium na wakati mwingine pre form 1
NILIKUWA NAOMBA kama kuna mtu anafahamu nursery or primary yeyote hapa dsm inayohitaji mwalimu wa kingereza yupo anapatikana ni mwalimu mzuri mwenye taaluma na anayejua wajibu wake.hajapata kazi ya kudumu mpaka sasa MSAADA AU USHAURI JAMANI ...AKSANTEEEEENI
 
Back
Top Bottom