Pweza Boy JF-Expert Member Joined Dec 30, 2017 Posts 1,395 Reaction score 3,177 Mar 7, 2018 #1 Nini sababu ya mtu kukojoa usaha na maumivu wakati wa kukojoa?? nini tiba yake(dawa)??
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 Mar 7, 2018 #2 Pweza Boy said: Nini sababu ya mtu kukojoa usaha na maumivu wakati wa kukojoa?? nini tiba yake(dawa)?? Click to expand... Ni Infection ya STD dawa ni kwenda hospitali upate antibiotics zinazofaa.
Pweza Boy said: Nini sababu ya mtu kukojoa usaha na maumivu wakati wa kukojoa?? nini tiba yake(dawa)?? Click to expand... Ni Infection ya STD dawa ni kwenda hospitali upate antibiotics zinazofaa.
Akthoo JF-Expert Member Joined Nov 5, 2007 Posts 1,001 Reaction score 1,021 Mar 7, 2018 #3 Pweza Boy said: Nini sababu ya mtu kukojoa usaha na maumivu wakati wa kukojoa?? nini tiba yake(dawa)?? Click to expand... Upesi nenda Hospitali, ni Kisonono (Gonorrheah) hicho. Na ikiwezekana fuatana na mwezi wako!
Pweza Boy said: Nini sababu ya mtu kukojoa usaha na maumivu wakati wa kukojoa?? nini tiba yake(dawa)?? Click to expand... Upesi nenda Hospitali, ni Kisonono (Gonorrheah) hicho. Na ikiwezekana fuatana na mwezi wako!
BLACK MARXIST JF-Expert Member Joined Nov 1, 2013 Posts 2,458 Reaction score 5,352 Mar 7, 2018 #4 Wahi kachomwe yale masindano ya Gono fasta, pia mwambie bibie awahi mapema pia.
GenuineMan JF-Expert Member Joined Jun 13, 2017 Posts 6,260 Reaction score 14,470 Mar 7, 2018 #5 Nenda hospitali, Angalizo Usitumie dawa bila ushauri wa daktari.
carbamazepine JF-Expert Member Joined Dec 30, 2015 Posts 46,562 Reaction score 285,591 Mar 8, 2018 #6 Hiyo ni dalili ya magonjwa ya zinaa. Wahi hospitali na uongozane na mwenza wako.