Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Infection ya STD dawa ni kwenda hospitali upate antibiotics zinazofaa.Nini sababu ya mtu kukojoa usaha na maumivu wakati wa kukojoa?? nini tiba yake(dawa)??
Upesi nenda Hospitali, ni Kisonono (Gonorrheah) hicho. Na ikiwezekana fuatana na mwezi wako!Nini sababu ya mtu kukojoa usaha na maumivu wakati wa kukojoa?? nini tiba yake(dawa)??