Wanajf naombeni msaada kwa tatizo linalonisibu, kila ninapotoka kuoga ndani ya dakika chache ngozi yangu huwa inawasha sana. Nimejaribu kutumia medicated soap lakini bado tatizo liko palepale. Maji nayo sidhani kama ni issue kwani sehemu yoyote ninapokua nimekwenda hali ni hiyo hiyo. Ndugu zangu nisaidieni.
Ni zaidi ya miaka minne sasa.tatizo lako lina muda gani??
Yawe baridi au moto swala ni hilo hilomaji ya moto au baridi?
Maji,nguo ya kujifutia,unayovaa zote zaweza kuleta hiyo tatizo.....sehemu yeyote unapokwenda ni wapi? Mkoa mmoja na mwingine
Ni zaidi ya miaka minne sasa.