kancher
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 469
- 467
Habari wakuu.
Husika na mada hapo juu, mimi ni mfanyabiashara napatikana kanda ya kaskazini, najishughurisha na biashara ya duka la nguo za kisasa mchanganyiko za kiume na kike.
Nahitaji msaada kwa mtu yeyote tuingie share tufanye biashara pamoja kwa yeye kuweka mtaji au mfanyabiashara ambaye anamtaji mkubwa anikopeshe mzigo kwa makubaliano maalumu amabayo tuwekeana kwa pamoja kwa lengo la sote kwa pamoja tupate faida na kuongeza wigo wa biashara.
Note:-Mazingura ya eneo la kufanyia biasha ni mazuri:-
*Decoration nzuri ya kisasa.
*cctv canera
*kuna pecking ya magari na pia ni mkabara na stend
*ni eneo limechangamka kibiashara, kazi hiyo imefanyika kwa zaidi ya miaka mitano.
Sababu za kufanya maamuzi haya ni changamoto za kimasha, nilipoteza kazi na kupata hasara katika uwekezaji wa kilimo hivyo kupelekea kuyumba kibiashara nimeshindwa kusimama mwenyewe.
Kwa yeyote atakayeona wazo hili linafaa linafaa anifate inbox tupeane mawasiliano zaidi na kuzungumza zaidi.
Ushauri pia unaruhusiwa. ASANTE 🙏