Msaada wa kibiashara

Msaada wa kibiashara

Msaranga

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2009
Posts
956
Reaction score
227
Jamani wakubwa poleni na majukumu nilikua naomba ushauri.
Nilikua nimefungua kampuni yangu na mpaka nimepata tin no.nataka kutafuta leseni ya biashara,na ninategemea kufanya kazi za kusupply material ,spare parts,kusapply manpower yaani vibarua na kadhalika (general supply) sasa sijui nitachukua leseni ya aiana gani? Na garama za leseni ni sh ngapi? Na wapi zinapatikana?mimi ntaegemea ofisi itakua ubungo.
Naomba kuwasilisha
 
Nenda pale manispaa ya kinondoni ipo magomeni,kitengo cha biashara watakuelekeza yote.
 
Back
Top Bottom