je wakuu ni biashara gani mtu unaweza ukafanya hapa bongo ya mtaji wa wastani ikawa inakuingizia kitu kiasi...mimi ni kijana niko kwenye mipango ya kutafuta ni biashara gani nzuri ya kuanza nayo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.