Msaada wa kidaktar kwanini kila nikiona wanawake wenye makalio makubwa moyo Wang huenda mbio

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi

Kwanini kila nikiona wana wake wenye makalio makubwa moyo wangu huenda mbio sana

Je nitakuwa naumwa ugonjwa wa moyo? Au nitakuwa naumwa kitu gan

Naomben msaada wenu wa kidakitar


LONDON BABY
 
Kula kwa macho ni mbadala halisi wa laana ya kula kwa jasho?
Jadili usemi kuu kwa kutumia visa hai.
 
Kwaiyo ukimuona hata mama yako napo unajisikia hivyo hivyo sio
 
unaugonjwa unaitwa grustuuuresd/56&frbb/hhj
ukiendelea hivi itakupelekea upate utapia mlo.
Angalia usikumbwe na kiharusi
au ugonjwa wa kusinzia sinzia hovyo.
 
Umetisha mkuu. Angalia usije kufa bure.
 
Ayo maradhi na maarufu hapa mjini saivi sipekeako mkuu.
 
Ni genye hizo wala huna tatizo!
Its the matter of passion na kwakuwa hujawahi wapata unaumia hamna kitu mule ni nguo tu zile akivue mbona inalala.
 
Umebarehe siku sio nyingi,angalia usije kufa na presha hiv vitu vipo tu
 
Me nakushauri tafuta wataalamu wakufunge speed governor ya moyo maana uendavyo kasi na Tanzania yetu hayo mambo yamejaa kila kona utakutana na tochi za traffic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…