Msaada wa kidaktar kwanini kila nikiona wanawake wenye makalio makubwa moyo Wang huenda mbio

Msaada wa kidaktar kwanini kila nikiona wanawake wenye makalio makubwa moyo Wang huenda mbio

Me nakushauri tafuta wataalamu wakufunge speed governor ya moyo maana uendavyo kasi na Tanzania yetu hayo mambo yamejaa kila kona utakutana na tochi za traffic
Asante sana mkuu
 
Ukiona tako kubwa vuta taswira kama unalamba pilipili.
 
Aman iwe nanyi

Kwanini kila nikiona wana wake wenye makalio makubwa moyo wangu huenda mbio sana

Je nitakuwa naumwa ugonjwa wa moyo? Au nitakuwa naumwa kitu gan

Naomben msaada wenu wa kidakitar


LONDON BABY
Nikuulize swali ingawa hutapenda. Hivi hata ukimuangalia dada, mama, shangazi, bibi moyo unakwenda mbio?
 
Back
Top Bottom