Anna Leonard
JF-Expert Member
- Jan 30, 2016
- 219
- 118
Ahahaha...na kweli aiseemaradhi yako yanaitwa jehannam syndromes!
Hahaaa nateseka sana kipenz changuhahahhahah !kwakweli unahitaj tiba Beira Baby Boy
pole sanaHahaaa nateseka sana kipenz changu
Nikuulize swali ingawa hutapenda. Hivi hata ukimuangalia dada, mama, shangazi, bibi moyo unakwenda mbio?Aman iwe nanyi
Kwanini kila nikiona wana wake wenye makalio makubwa moyo wangu huenda mbio sana
Je nitakuwa naumwa ugonjwa wa moyo? Au nitakuwa naumwa kitu gan
Naomben msaada wenu wa kidakitar
LONDON BABY
Umemaliza kaziAcha kulala chumba kimoja na Dada zako ilo tatizo litatoweka