EDIGAR JO
JF-Expert Member
- May 6, 2024
- 422
- 444
Mdogo wangu anamiaka 17 kahitimu elimu ya kidato cha nne mwaka jana yaaani ni 2024. Lakini haikuwa bahati yake kupata matokeo mazuri kutokana na mambo mengi.
1.Usimamizi mbovu kutoka pande mbili wazazi wake na walimu pia .
2.Kutokana kukosekana kwa mikakati madhubuti ya kuhakikisha walau watoto wanafaulu .
3.Jamii pia inayomzunguka haina mchango wowote.
Hivyo basi matokeo yakawa ni division 4 point 31
Na kuna C -Kiswahili n.k
Mpaka hapo nadhani ushaelewa kidogo
MPANGO ULIOPO
Yeye alipenda sana Jeshini lakini kwa hayo matokeo naona haitomsaidia .
MZAZI WETU AMERIDHIA KUTOA HELA YEYOTE ILI AENDELEE KUSOMA , JE! KOZI AU MAFUNZO YAPI AYAPATE???