Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpeleke VETA akasome course ya chaguo lake kwa manufaa yake ya baadae.Mdogo wangu anamiaka 17 kahitimu elimu ya kidato cha nne mwaka jana yaaani ni 2024. Lakini haikuwa bahati yake kupata matokeo mazuri kutokana na mambo mengi.
1.Usimamizi mbovu kutoka pande mbili wazazi wake na walimu pia .
2.Kutokana kukosekana kwa mikakati madhubuti ya kuhakikisha walau watoto wanafaulu .
3.Jamii pia inayomzunguka haina mchango wowote.
Hivyo basi matokeo yakawa ni division 4 point 31
Na kuna C -Kiswahili n.k
Mpaka hapo nadhani ushaelewa kidogo
MPANGO ULIOPO
Yeye alipenda sana Jeshini lakini kwa hayo matokeo naona haitomsaidia .
MZAZI WETU AMERIDHIA KUTOA HELA YEYOTE ILI AENDELEE KUSOMA , JE! KOZI AU MAFUNZO YAPI AYAPATE???
hii haina kufeli labda asiandike kitu aache blankMpigie huyu jamaa 0745944071 anakituo arusha kinasaidie watu kusoma na kupata vyeti vya O level vya uingereza ....mitihani inafanyila mwezi wa tano kama ndugu yako yupo tayari mpeleke akasome . Mwezi wa kumi aende chuo
Kizuri hii haina kufeli labda asiandike kitu aache blank
Sina dada ila nakuaminisha akija hiyo mdogo wako nitampa madini hatofeli kamwe!!HAUNA DADA YAKO NDUGU AKAJA ???😂
Ungejua nimeokoa wangapi kwenye hiyo jamiii usingesema hata hivyo
Mimi sio mfanyakazi serikalini wala Taasisi binafsi .Hukutoa msaada mkuu kama wewe na daktari mshara unalipwa. Kama ni afisa kata,maendeleo etc hufanyi hio kazi bure.
Msaada hauna malipo
Mimi sio mfanyakazi serikalini wala Taasisi binafsi .
Mimi ni mwanafunzi wa UDSM ,Mpambanaji niliyeamua kujitoa kwaajili ya jamii zetu kuendelea nasio kuja kusema ni uvivu wao.
UNAONAJE UKAZUNGUKWA NA WATU AMBAO WOTE MNAMAFANIKIO ?
SASA MIMI NAONA NI BOLA KUONDOA UJINGA KWA HARI NA MALI.
Sidhani kama haya mambo uloona nimeyakosea yakirekebishwa yataongeza chochote kwenye pato la TAIFA.Udsm unaandika BOLA badala ya BORA. HARI badala ya HALI
Duh aiseee
Arudie shule. Mtu unapataje 4 ya 31 huko shule hawafindishi auMdogo wangu anamiaka 17 kahitimu elimu ya kidato cha nne mwaka jana yaaani ni 2024. Lakini haikuwa bahati yake kupata matokeo mazuri kutokana na mambo mengi.
1.Usimamizi mbovu kutoka pande mbili wazazi wake na walimu pia .
2.Kutokana kukosekana kwa mikakati madhubuti ya kuhakikisha walau watoto wanafaulu .
3.Jamii pia inayomzunguka haina mchango wowote.
Hivyo basi matokeo yakawa ni division 4 point 31
Na kuna C -Kiswahili n.k
Mpaka hapo nadhani ushaelewa kidogo
MPANGO ULIOPO
Yeye alipenda sana Jeshini lakini kwa hayo matokeo naona haitomsaidia .
MZAZI WETU AMERIDHIA KUTOA HELA YEYOTE ILI AENDELEE KUSOMA , JE! KOZI AU MAFUNZO YAPI AYAPATE???
Sidhani kama haya mambo uloona nimeyakosea yakirekebishwa yataongeza chochote kwenye pato la TAIFA.
Ebu kosoeni vyenye maana nasio hizi vitu waachieni wanafunzi wa sekondari bwana .
Au wewe unaona hili la maaana tuliongelee??🤓
KomasavaaMtoa mada wewe kama wewe unamaono gani ukiweka mbali ulalamishi.
Wewe kama kaka au dada umempa ushauri gani.Kwa umri wako ni dhahiri unajua maisha yanataka nini hapa mavumbini Tz,so kwa kukusaidia wewe weka mawazo yako hapa tukushauri vizuri.
Best option ni kureseat masomo matatu apate credits za kwenda chuo.Mdogo wangu anamiaka 17 kahitimu elimu ya kidato cha nne mwaka jana yaaani ni 2024. Lakini haikuwa bahati yake kupata matokeo mazuri kutokana na mambo mengi.
1.Usimamizi mbovu kutoka pande mbili wazazi wake na walimu pia .
2.Kutokana kukosekana kwa mikakati madhubuti ya kuhakikisha walau watoto wanafaulu .
3.Jamii pia inayomzunguka haina mchango wowote.
Hivyo basi matokeo yakawa ni division 4 point 31
Na kuna C -Kiswahili n.k
Mpaka hapo nadhani ushaelewa kidogo
MPANGO ULIOPO
Yeye alipenda sana Jeshini lakini kwa hayo matokeo naona haitomsaidia .
MZAZI WETU AMERIDHIA KUTOA HELA YEYOTE ILI AENDELEE KUSOMA , JE! KOZI AU MAFUNZO YAPI AYAPATE???
ChaiKitu kidogo tu kinaweza kukuangusha ukute kilichomuangusha dogo ni suala la muandiko akidhani wasahihishaji wataelewa tu
Chai