Msaada wa kilimo jamani,

Msaada wa kilimo jamani,

chani

Member
Joined
Mar 26, 2014
Posts
55
Reaction score
7
Ni heka 5 ila ni sehemu yenye mawe sana je kilimo gani kinafaa?
 
embu fafanua vizur..sehemu ya mawe ikoje?je shmba nila umwagiliaji au kuna mto pembeni?
 
wasiliana na maabara kuu ya udongo Tanzania, ARI-Mlingano, Tanga. watakushauri vizur mkuu.
 
amerudi shambani kuangalia tena then atakujua na majibu ya maswali aliyoulizwa..kama vipi weka picha kabisa.
 
Back
Top Bottom