Msaada wa kilimo Tafadhari

Msaada wa kilimo Tafadhari

Njopino

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2014
Posts
3,468
Reaction score
5,060
Nawasalimu wote.
Mwaka huu nimeazimia kujikita katika kilimo, kwa kuanzia nimepata shamba eka moja, nataka nianze kilimo cha mahindi. Hivyo basi naomba wataalamu wa kilimo wanijuze mbegu kiasi gani nitumie katika eka moja ili nipate matokeo chanya, na mambo muhimu ya kuzingatia katika kilimo hiki. Nimejiwekea malengo ya kuongeza ukubwa wa shamba kadri ninavyokuwa mzoefu kwenye kilimo.
Nawasilisha.
 
@modelator wangenisaidia ku edit hiyo title ingekuwa vyema zaidi iwe Msaada
 
Back
Top Bottom