Je kuna faida ya ziada inayopatikanwa kwenye mchanganyo wa baadhi ya vyakula? Kwamfano . Hivi unapokula tende au maziwa pekeyake au ukavila kwa pamoja hali yakuwa vipo mbalimbali na ile hali ya kuvisaga kwa pamoja je kuna faida ya ziada inyoaptikanwa ndani yake mchanganyiko uliosagwa?