Mkuu kama unakamua mademu na bado una hamu ya kupiga nyeto basi ni athari ya kisaikolojia..
Cha muhimu jitahidi uache manake itafika kipinda una mke ndani lakini ukawa hauridhiki naye mpaka upige nyeto..
Madhara yake physically ni pamoja na kupata uchovu haraka pale unapofanya kazi ngumu, na pia viungio hasa magoti kukosa nguvu. Psychologically ndo kama hivyo muda wote utataka kufanya..