Ni kwamba nimesoma makala nyingi sana juu ya kitendo cha kupiga punyeto,kila mwandishi ameandika kivyake.Hivi karibuni nimesex na demu wangu bila shida na wiki ijayo ninampango wa kumeet na mwingine huku nashawishika bado kupiga nyeto.Je ntaweza mzigo?
Mkuu kama unakamua mademu na bado una hamu ya kupiga nyeto basi ni athari ya kisaikolojia..
Cha muhimu jitahidi uache manake itafika kipinda una mke ndani lakini ukawa hauridhiki naye mpaka upige nyeto..
Madhara yake physically ni pamoja na kupata uchovu haraka pale unapofanya kazi ngumu, na pia viungio hasa magoti kukosa nguvu. Psychologically ndo kama hivyo muda wote utataka kufanya..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.